Akizungumza na mwakoba cinema director wa filam Sofia mustafa aliezea changamoto mbalimbali alizokutananazo wakati yupo location.”nimepata changamoto nyingi sana nilipokuwa location natengeneza filamu yangu ya kipenda roho kwa kuwa ndio ilikuwa ni kazi yangu ya kwanza kuiongoza na mambo mengi sana nilikuwa siyajuhi kiukweli nilikatishwa sana tamaa ikapelelekea mpaka kutaka kuacha lakini nilijipa moyo na hatimae nikaweza na nikaimaliza“
Sofia aliendelea pia kwa kutoa shukurani zake za dhati kwa watu ambao walipigania mpaka kazi yake ikamalizika
“Napenda sana kutoa shukurani zangu kwa hawa watu kwani bila hawa watu sidhani kama kazi yangu ingeweza kumalizika mtu wa kwanza ambae napenda kumshukuru ni mume wangu kupenzi ametoa sapoti kubwa sana mpaka kazi hii kukamilika mtu wa pili napenda sana kumshukuru camera man wangu ndugu Jonas mwakoba aliipigania sana kazi yangu vile inavyotakiwa na bado anaendelea kuipigania mtu wa tatu napenda sana kumshukuru camera man wangu mwingine bwana Liputu kwani bila yeye kunipa vifaa kwa moyo mmoja kazi yangu isingefanikiwa mtu wa nne napenda sana kumshukuru kaka yangu Yahaya faki kwa kukubali kuacha kazi zake na kuja kunisapoti kazi yangu wakuwashukuru wapo wengi sana bila kumsahau kindege, mwalimu makata, maston don, musty khan na wengi ne wengi“