![](https://mwakobacinema.movie.blog/wp-content/uploads/2020/03/dsc_00492107525604.jpg?w=1024)
Ni siku chache kabla ya hao wasanii kumaliza kurekodi nyimbo yao hiyo na hatimae sasa wanamalizia na video ya nyimbo hiyo.wimbo huo ukiwa umeimbwa na wasanii watatu ambao ni MC MUBA X SIX CIMEN X RASH BOY awali wasanii hao wakiwa wanapiga stori na mwakoba cinema walidai kuwa nyimbo hiyo ni mahususi kwa watu ambao wanawazungumzia vibaya na kuwafosi wafanye mambo wanayo wataka wao
Awali walidai kuwa nyimbo hii ilifanywa na wasanii watatu kabla ya kufanywa tena lakini walimuengua msanii yule kutokana na kutotoa ushirikiano kwa wenzie hivyo wakaamu kumueka mtu mwingine na kufanya nyimbo hiyo kuwa nzuri zaidi ya mwanzo
![](https://mwakobacinema.movie.blog/wp-content/uploads/2020/03/dsc_0042920872899.jpg?w=1024)
You must be logged in to post a comment.